Tag Archives: TGFA

USIKOSE: KIPINDI MAALUM CHA VIJANA NA KILIMO KURUSHWA na ITV na RADIO ONE TANZANIA DONT MISS THE SPECIAL PROGRAM FOR YOUTH IN AGRICULTURE ROLE MODELS Start TODAY

“LIVE Leo kuanzia saa , 12:30 mpaka saa 1:30 jioni tutakuwa na ANNA MALONGO, msichana mwenye umri wa miaka 18, Mtaalamu wa kuchakata ngozi na kutengeneza viatu vya ngozi, ambaye ataelezea safari yake ya mafanikio kwenye kilimo-biashara”. USIKOSE Kwa maswali … Continue reading

Posted in Agribusiness Promotion, HIDES, Processing and Value addition, SKIN, Youth and Women Role Models, Youth in Agriculture Role Models | Tagged , , , , | Leave a comment

PROMO:::Agriculture Pays, Do it Strategically: Meet the Youth in Agriculture Role Models

ANSAF kwa kushirikiana na wadau wengine katika Kilimo wanakuletea baadhi ya vijana waliofanikiwa kutokana na KILIMO BIASHARA. Kutaka kufahamu vijana hao wanafanya nini, wamekutana na changamoto gani, wametumia nini, wanauza na kuzalisha wapi, kufuata kanuni na misingi gani na mengine … Continue reading

Posted in Advocacy, Agribusiness Promotion, BEEKEEPING, BUY LOCAL, Documentaries, ICT for Agriculture, Links | Tagged , , , , , , , | 1 Comment

Farming is a livelihood Business: Documentary 1 The short film show how farming is Business and how one can do it successful for livelihood. Alpha Mtakwa is the owner of his 15 acres where he plant a lot of crops … Continue reading

Link | Posted on by | Tagged , , , , | Leave a comment